Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 23
Wanajamii naombeni msaada wenu...!
Eti ni nini chanzo au kitu kinachosababisha mtu kutokwa na vidonda pembeni ya mdomo! KUna baadhi ya watu huwa wanasema inatokana na labda homa/maleria ndio inakua inatoka mwilini wengine wanahusisha vidonda hivyo na mambo ya zinaa pamoja na mambo mengine chungu nzima!
Ninaombeni msaada wenu ili nipate kujua kwani kuna jamaa yangu vina mtokea mara kwa mara! So nikaona wacha nililete hapa hili suala ili nipate utaalamu wenu kuhuu chanzo cha hivo vidonda na tiba yake!
This. There is also no cure. But you can reduce the symptoms, with some creams.Hiyo ni herpes...
Wanajamii naombeni msaada wenu...!
Eti ni nini chanzo au kitu kinachosababisha mtu kutokwa na vidonda pembeni ya mdomo! KUna baadhi ya watu huwa wanasema inatokana na labda homa/maleria ndio inakua inatoka mwilini wengine wanahusisha vidonda hivyo na mambo ya zinaa pamoja na mambo mengine chungu nzima!
Ninaombeni msaada wenu ili nipate kujua kwani kuna jamaa yangu vina mtokea mara kwa mara! So nikaona wacha nililete hapa hili suala ili nipate utaalamu wenu kuhuu chanzo cha hivo vidonda na tiba yake!
Ebu elezea zaidi...isije ukawa unaongelea oral thrush!! Anywayz, hizi utokea kwa watu wanaotumia abx, inhalers kama advair na hata watu ambao wapo immunicompromised/ suppressed immune kama watu wenye miwaya..... dawa nzuri inayotumika ni nystatin ambayo una swish na ku-swallow!!
Sina utaalamu kihivyo, lakini nitamsutua starring mmoja alete maneno yaloenda skuli!! Goodluck champ!
How do I cure a sore mouth? I dont know what is the medical word for this but hii week nime experience vidonda karibu na my lips.. not inside. what the causes this? is it kinda of infection? how do I cure this?
Thanks
How do I cure a sore mouth? I dont know what is the medical word for this but hii week nime experience vidonda karibu na my lips.. not inside. what causes this? is it kinda of infection? how do I cure this?
Thanks
Tumia Vitamin B 2, ama kwa jina lingine Vitamin B complex
asante kwa ufafanuzi na elimu mwanana , ila daktari alienitibu mimi tatizo kama hilo , aliniaminisha hivyo, maana alisema ikiwa utapata Vitamin B 2 ama Vitamin B complex tatizo langu litakuwa limeisha.mkuu,vitamin B 2 SIYO Vitamin B complex.Vitamin B 2 is a component of vitamin B complex.
Tumia Vitamin B 2, ama kwa jina lingine Vitamin B complex
Inaweza kuwa stress mhhh...u could be right... But i am not in Tanzania so i guess i cant get that name here but i appreciate ur input...Nafikiri ndg yangu utakuwa na stress fulani...pengine familia au maisha yetu ya kibongo! Well cha kufanya hebu tafuta dawa hii "BUNGELA PAINT" sina hakika na spelling ila ukifika pharmacy watajie watajua tu! Pharmacy kubwa plz sio duka za dawa baridi eeh?
Now u sounds like a really doc... This problem just started _3 or 4 days back i wanted a quick solution... But if it get serious i will take ur advice to c a doc... Thanks docKitaalam tunaita stomatitis,there so many causesof stomatitis.Kama hiilo tatizo linakusumbua sana nenda hospital kamuone stomatologist(Daktari wa kinywa na magonjwa yanayohusiana na kinywa)
wewe nae umeanza kuniharibia siku bwana.... Hakuna bana am clean....Ukienda hosp usisahau kupima na magonjwa makubwa, ok?