Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili
Dr asante kwa ushauri wako mzuri na wa kina be blessed! Sasa hzo dawa ntazpataje! Also nlshaenda kuchek status yangu niko pouwa!
Tatizo hili Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili
Hapo kwenye RED, mbona kauli hizi mbili zinatofautiana? Kuwa mkweli siku zote.
Pole kamanda.NINA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA MDOMONI NA KWENYE KOO KWA ZAIDI YA MWEZI SASA, NIMEKWENDA HOSPITALI NIMEPEWA VIDONGE AINA YA AMOKSRINE NA AINA NYINGINE YA ANTIBAYOTIKI PIA NA DAWA YA MAJI YA MATONE LAKINI NAFUU NIMEIPATA KIDOGO. JE KUNA MWENYE UJUZI WA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA WENU WANA JF.:nod:
ahsante mkuu itabd niende nikapme ila niko poa sana..na mzigo nakimbiza masafa marefu...ila vdonda ndo tabu'Pole tibu tu hyo malaria.