KUKU_UFUGAJI JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 857 Reaction score 1,727 Jan 19, 2024 #1 Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.