edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Pole sana kiongozi ni vizuri angefika hospitali kupata usaidizi wa kitaalamu.Wapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana
Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
Ooh kwanza pole Mimi naweza kukusaidia maana Mimi mwenyewe vilinitesa mpaka nikachanganikiwa 0695271166Wapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana
Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
oh pole huyo ana gerdWapendwa habari,

Pole sana kiongozi ni vizuri angefika hospitali kupata usaidizi wa kitaalamu.
Pia Kwa hapo nyumbani anaweza kutumia kabichi - anaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.
Kama ni tatizo kubwa sana anaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.
Wapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana
Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
Toa msaada hapa mkuu kwa faida ya wengi tafadhali.Ooh kwanza pole Mimi naweza kukusaidia maana Mimi mwenyewe vilinitesa mpaka nikachanganikiwa 0695271166
Sawa tatizo kubwa Zaid la vidonda vya tumbo ni kuzidi Kwa acidic mwilini kwaiyo nilipata kitu kilicho nisaidia. Kuongeza alkaline na Hali ya vidonda vilipona kabisa hata Sasa kila kitu nakula kama awal.Toa msaada hapa mkuu kwa faida ya wengi tafadhali.
Wapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana
Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
Tafadhali piga hii namba 0695271166 atakusaidiaWapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana
Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
Naomba namimi kuelekezwaWife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
Yogurt, limao Tangawizi hivi sio vya kutumia. AnawadanganyaAcha kula vyakula vya kukaanga, soda, juice za viwandani.
Tumia yoghurt, maji ya bamia, chai ya tangawizi na limao.
Usikae na njaa, pia kula kidogo kidogo.
Kitu gani hicho mkuu naomba kujua wengine tuwe sawa kama wewe mwisho wa sikuSawa tatizo kubwa Zaid la vidonda vya tumbo ni kuzidi Kwa acidic mwilini kwaiyo nilipata kitu kilicho nisaidia. Kuongeza alkaline na Hali ya vidonda vilipona kabisa hata Sasa kila kitu nakula kama awal.
Sehemu gani iyo mkuu embu naomba msaadaWife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
Nimevitumia na nimepona kabisa.Yogurt, limao Tangawizi hivi sio vya kutumia. Anawadanganya
Hebu toa hyo dawa watu waijue au kama vp waje in-box maana ugonjwa huo ni janga la taifa.Wife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
Bei ya dawa milioni ngapi mkuuOoh kwanza pole Mimi naweza kukusaidia maana Mimi mwenyewe vilinitesa mpaka nikachanganikiwa 0695271166