Kiramamoshi2019
Member
- Jun 12, 2019
- 6
- 0
Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metrinidazole Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati Moja .....Je Ni sahihi kwa Hizi Dawa nilizo andikiwa....????
Mmb powder dawa ya vidonda vya tumbo Asilia inazuia kutapika damu pamoja na kutibu vidonda vya tumbo dose yake ni elfu 30 unaitumia kikamilifu ndani ya mwezi mmoja kwa muhitaji Piga namba 0754 446724 Voda au 0683882959 mikoan tunatuma unachangiwa asilimia 50 ya nauli.Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metronidazole(Flagyl) Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati Moja .....Je Ni sahihi kwa Hizi Dawa nilizo andikiwa....????
Mmb powder dawa ya vidonda vya tumbo Asilia inazuia kutapika damu pamoja na kutibu vidonda vya tumbo dose yake ni elfu 30 unaitumia kikamilifu ndani ya mwezi mmoja kwa muhitaji Piga namba 0754 446724 Voda au 0683882959 mikoan tunatuma unachangiwa asilimia 50 ya nauli.Metrinidazole itakunyoosha sana aliyegundua hiyo dawa haendi mbinguni
Kweli akili hunaaaDuuuh mi nlikuwa na madonda ya tumbo usiku silali lakini nimefunga mwezi wa ramadhan,Baada ya mwezi kuisha naona sina tena tatizo kabisa, na najihisi nimepona.Ndo nimeamini kuwa funga kweli ni Tiba pia
Kivipi. Hebu elezea kidogoMetrinidazole itakunyoosha sana aliyegundua hiyo dawa haendi mbinguni
Endeleeni kula tende tu mazeeDuuuh mi nlikuwa na madonda ya tumbo usiku silali lakini nimefunga mwezi wa ramadhan,Baada ya mwezi kuisha naona sina tena tatizo kabisa, na najihisi nimepona.Ndo nimeamini kuwa funga kweli ni Tiba pia