Vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo

Bahingaye

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
58
Reaction score
106
Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
 
Pole mkuu ukiweza tumia hii upone usipoweza tafuta nyingne upone
Unga wa manjano [uwe mpya yaan usiwe umekaa mda mrefu ]
Asali mbili
Tumia vijiko 2 vya unga na vijko 2 vya asali kwenye maji ya vuguvugu kikombe kunywa ndani ya wiki 2...3 kutegemea tatzo lna mda gani kutwa mara 2 lete mrejesho mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uBarikiwe sana mkuu,, hii hata kama tatizo ni la muda mrefu maximum ni wiki tatu muda wa matumiz?
 
pole sana nimeumwa miaka mingi , nilitumia mti shamba flani siujui jina nahisi kupona japo sijiamini, nitafte nikunganishe
 
Back
Top Bottom