Vidonda

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini
 
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini

Mimi vilishawahi kunitokea nikatumia limao...nilikuwa nakata limao vipande viwili alafu nalamba japo inauma lakin vinakauka haraka sana
 
Kwenu madaktari vidonda vya ulimi ni tatizo kwangu nini dawa au nini nitumie nini
Kama ni vidonda tu vya kawaida ramba asali asaubuhi na jioni utapona lakama ni vidonda vya fangasi nione mimi nipate kukupa upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…