Vidonge vy kuongeza protin

Thomac

Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Kama kuna mtu ana uza vidonge vya vitamin kwa wale wapiga gym wanaelewa kwa mfano kama amino nataka vidonge vyaku jaza tu 0624585115 nicheki
 
Mzee unahitaji Protin au Vitamin [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama kuna mtu ana uza vidonge vya vitamin kwa wale wapiga gym wanaelewa kwa mfano kama amino nataka vidonge vyaku jaza tu 0624585115 nicheki
protein supplements ni nzuri kama utavitumia kwa kufata maelezo ya wataalamu, fika kwenye gym zinazoongozwa na wataalamu watakupima watajua dozi ya kukupa na aina ya mazoezi ya kufanya ili uweze kubalance mwili.

si vyema kununua na kuzitumia bila elimu stahiki.
 
Unaancha kupata lishe bora unahangaika tu. Gonga menu ya maana kula gym uone kama hujazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…