Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Wakuu kuna vidonge vimetoka unameza ili pale unapopumua hali ya hewa isichafuke.
Kuna harufu ya aina nyingi, strawberry, mango n.k
Hata mkibana kwenye daladala uniachia tu yuu-suu-fuuu watu wanaanza kugeuka nani anakula maembe humu ndani kumbe we unafanya vyako.
Sent using Jamii Forums mobile app