valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Habari zenu wadau!
Wikiendi iliyopita nlikuwa nimechili mahali fulani (actually ni bar), nkiwa nakunywa kilaji nkisubiri supu yangu ya mkia.
Pembeni ya meza nliyokuwepo, kulikuwa na wadau wengine wakipiga soga.
Katika mazungumzo yao nliwasikia wakiwa wanazungumzia dawa ambayo mwanamke akiinywa/imeza baada tu ya kutoka kuduu. Basi uke wake unarudi na kubana na kisha unakuwa kama hajafanya lolote.
Yani demu/mpenzi/mchumba/mke wako anaweza banjua amri ya 6 mda wa saa 12 jioni, na akarudi nyumbani saa moja jioni, kisha usione hata dalili ya kuwa katoka kubanjuliwa. Kwani uke unarudi kubana na kupoteza ushahidi.
Hii dawa haina madhara kwa watumiaji kweli?
Na huwa zinauzwa katika pharmacy za kawaida kweli?? au ndo zile zinapatikana kimagendo magendo sababu ya kukosa uhalali wa matumizi??
Hebu kwa walioitumia, walioiona na watusaidie maelezo kuhusu hivi vidonge kwa sisi washamba tusioifahamu.
7..7..7