Vidonge vya kufanya mwanamke ashike mimba

kind lady

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
42
Reaction score
5
Habarini

Kwa anayejua vidonge vyovyote vya kumfanya mwanamke ashike mimba haraka .

Naomba anijuze na bei yake ikoje (fertility drugus).
 
Mi najua hizi ila sio za fertility bali zitaufanya mji wako wa mimba uwe tayari na afya tele kwa ajili ya kubeba mimba, pia utazaa mtoto mwenye afya, Unatakiwa utumie supplements za vitamins (prenatal vitamins) miezi mitatu Kabla hujashika mimba, na uendelee nazo mpaka mpaka mwisho, zipo za Kabla ya mimba, baada ya mimba na zipo pia za wakati wa kunyonyesha, kama ulikaa muda mrefu bila kubeba ujauzito Vit E itahitajika pia. Kila la heri
 
Kuna dawa zinaitwa clomid au clomiphene zinasaidia mwanamke ambae ha ovulate kuweza ku ovulate na kushika mimba pale atakapokutana na mwanaume siku za hatari, ila uende hospitali ufanyiwe vipimo kwanza na upewe maelekezo jinsi ya kutumia, dozi yake ni ya siku tano utaanza kunywa siku ya pili baada ya menstrual cycle(hedhi) , Kila la heri
 
Habarini

Kwa anayejua vidonge vyovyote vya kumfanya mwanamke ashike mimba haraka .

Naomba anijuze na bei yake ikoje (fertility drugus).

unatatizo la kutokupata mimba?
 
Nenda hosptali muone na doctor wa maswala ya uzazi tna nenda sure hurbal clinic ipo shekilango lego
 
Samahani mkuu unaweza nipatia no cm ya hiyo sure hurbal clinic pls mana mi ni mgeni sinza.
 
Kuna Dawa za uzazi wa mpango zile zenye rangi Kama ya njano ndio suluhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…