Vidonge vya kupunguza Mapigo ya moyo yaendayo mbio

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,469
Reaction score
1,166
Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila nimevisahau jina lake Asanteni
 
Kwanini usiende kwa daktari atakaepima BP, na uzito wako ndiyo aamue dawa?
 
Tumia Carvedolil zinauzwa kwenye 12.5 au 6.25 mg zina relax muscles na kupunguza pressure lakin kutumia ushauriane na daktari moyo Sio Jino
 
Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila nimevisahau jina lake Asanteni
Matatizo ya moyo ni ugonjwa nyeti sana unaohitaji uchunguzi wa kina ili kuweza kupata matibabu sahihi. Unahitaji kuonana na Dr kujua tatizo lako
 
Matatizo ya moyo ni ugonjwa nyeti sana unaohitaji uchunguzi wa kina ili kuweza kupata matibabu sahihi. Unahitaji kuonana na Dr kujua tatizo lako
Ni kweli mkuu kuna kipind nlipewa hvyo vidonge hali ilitulia kabisa ila kama nlivyotaja kwenye thread jinsi vilivyo ila jina nimesahau ndo navihitaji
 
Tumia Carvedolil zinauzwa kwenye 12.5 au 6.25 mg zina relax muscles na kupunguza pressure lakin kutumia ushauriane na daktari moyo Sio Jino
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila nimevisahau jina lake Asanteni
Kila mtu hupewa dawa kulingana na hali yake kwa muda huo. Usifanyiwe description JF tafadhali. Heart diseases ni very sensitive, usipige sarakasi kwenye transformer
 
niliwahi kusikia viagra kwa asili walitengenezewa wagonjwa wa moyo, kuna ukweli wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo viagra inashusha pressure kwa wale wenye hypertension ila zipo aina mbili tofauti viagra nyeupe specific kwa ajiri ya pressure na ile nyingine blue kazi yake unaijua japo zote zinashusha pressure ila moja ni multipurpose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri kama Hufanyi Mazoezi anza Kufanya Mazoezi hasa ya Kukimbia Uwanja Angalau Mara 15-20

Na Ukishamaliza Fanya Sprinting Nenda 10 za Kasi Kutoka golini hadi Katikati ya Uwanja.

Ukitoka Fanya Mazoezi ya Viongo na Tumbo Mimi Huwa naenda Uwanjani Saa 1 Usiku hadi saa 3 Niko tofauti zamani Moyo Ulikuaga unanisumbua hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…