.Kila nikiendaa kwake,rafiki yangu hakosi vidonge vya typhod.
Ikitokea mpenz wake anakuja,jamaa humeza vidonge hivyo.
Nilimuuliza kwann kila wkt hunywa vidonge hivyo,ndo tuseme yy typhod haiponi?
"Vinaongeza nguvu mara dufu wkt wa tendo".Alinijibu rafiki yangu.
Ndg wanajf-doctors,kuna ukeli wowote juu ya madai haya au kuna chemical gani zinazohusiana na hamu zaidi wkt wa tendo?
Nawasilisha kwa michango yenu zaid.
Kila nikiendaa kwake,rafiki yangu hakosi vidonge vya typhod.
Ikitokea mpenz wake anakuja,jamaa humeza vidonge hivyo.
Nilimuuliza kwann kila wkt hunywa vidonge hivyo,ndo tuseme yy typhod haiponi?
"Vinaongeza nguvu mara dufu wkt wa tendo".Alinijibu rafiki yangu.
Ndg wana jf-doctors,kuna ukeli wowote juu ya madai haya au kuna chemical gani zinazohusiana na hamu zaidi wkt wa tendo?
Nawasilisha kwa michango yenu zaid.
Huo ni uongo mtupu na kama kweli anapata nguvu hizo basi si vidonge anavyomeza bali ni imani tu