ha ha haaahaha na kunj kipanga dem naona anaondoka na zawad zote nipeukweli
kwanini usifikirie kujiajili dogo? utazeeka bure kwenye kazi za watuni kesho maeneo ya mhasib house, vipanga wa mahesab ya biashara wanakabidhiwa majembe yao katika ngaz mbalimbal gumzo kubwa likiwa ni wale waliofaulu mtihan mgumu wa hesab katika final stage.My take..serikal inauhaba wa wahasibu lakin pia hawana mpango mahus wa ku-absorb wahasib kama wanavofanya kwa waalim na madaktari.ndio mana mahesab ya serikal yamejaa hat mashaka.