Vidume wewe utachagua yupi?

Vidume wewe utachagua yupi?

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,837
Ukiachwa kisiwani yupi kati ya hawa ungependa uachwe naye?
 

Attachments

  • NNGUVA.jpg
    NNGUVA.jpg
    44.4 KB · Views: 470
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake
 
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake

mmoja tu for your companion......
 
Hapo nipe mda wa kidogo maana uchaguzi utakuwa mgumu kidogo, bado nasisitiza wote wawili
 
Hapo nipe mda wa kidogo maana uchaguzi utakuwa mgumu kidogo, bado nasisitiza wote wawili

mi akuchagulia wa kwanza yule mwenye umbo la juu......uzuri ana kinnywa
 
We hashcool mbona unataka tuchague mmja au mambo yako nini?
 
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake<!-- google_ad_section_end -->

Hii innovation nimeipenda
 
Mimi B bana! sura kitu gani....................mbona wengi tu hapa .....wenu ni vi poly!:smile-big:
 
Hao wote sio binadamu wakuu, unaweza ukamchukua huyo B halafu mkiwa faragha akatafuna ulimbo akaula! Huyo A juu mzuri lakini mambo hayawezekani.Mimi sichukui yeyote na nitoka mbio ajabu.
 
Ukimchagua B, utakiona cha moto kutokana na meno yake. Ukimchagua A, utakuwa na kazi ya kumbeba mkiwa nchi kavu.
 
sina wa kuchagua coz naona wote wana kasumba zao. so nitabaki alone
 
Ama kweli lazima uwe engineer hivyo 0.5 +0.5 = 1 ( wachukue wote utapata kitu kizima )
 
Back
Top Bottom