Vidumu ni vitu gani hasa?



...tumechoka 'mnavyotunyanyapaa!' ...nasi twataka 'Beijing!' yetu!
 
Hivi hata kama huna ndookubwa rasmi still unaweza beba kidumu?
 
kwani kidumu/vidumu ni nini? kina umuhimu gani?
 
kidumu kinabebeka kilahisi.waulize makonda au madreva taxi.vidumu vinasaidia sana hasa pale unapoishiwa mafuta.
 
Ba ndugu,
hivi vidumu na nyumba ndogo kipi zaidi???
namaanisha kinacho hatarisha ndoa.
 
Kidumu kinaweza kukutesa mpaka ukatamani ndoo kuepuka kwenda kurudi ili ujaze pipa
 
wote ni umalaya tu si kwa hicho muitacho kidumu au nyumba ndogo timiza wajibu wako kwenye ndoa yako..
 
Teh teh teh. Ama kweli VIDUMU VIGUMU.
 
Vi Galon je? Wakweree utawajua kwa threads zao!
 

Umeelezea vizuri sana sina haja ya kuongezea

hahahahahahaha duh we umefunika kabisa, anaoga anaoogelea na asipofanya yote atakuja kuvuka tu kwendaa upande wa pili

Ngoja nifikirie upya kama kuna umuhimu wa kuoa! Vinginevyo bado nipo nipo saaaaaaaaaaaaana! Wanawake balaaa! mitoto nayo balaaa! Maana ukiipata inaona kama unachelewa kufa ijipatie mali.
 
lol,hii kali.....na mie natafuta kidumu jamani.......:glasses-nerdy:
 

hahahaha Lizzy
siamini kama haya yametoka kwako :smiling:
 
hahahaha Lizzy
siamini kama haya yametoka kwako :smiling:

Hhahhahha mama wa kwanza nilijaribu tu kuvaa viatu vya mbeba kidumu kwa dakika nione kama ntaweza kuvitembelea.Naona kuna mwingine mpaka anaogopa kuoa sasa....ni usanii tu bwana!!
 
Humu ndani nafikiri wanawake ni POOR THINKERS, Great haipo tena. Hivi kweli mwanamke unakuwa na kidumu kwa nguvu zipi? Ni mashindano au ni hulka tu kwamba uonekane unaweza? Mimi kweli ni mshamba nahisi hata mapenzi siyajui. Ukiangalia wenye hizi tabia ni wale waliochezwa wanafikiri kwa utalaam wao wanaweza ku-grab wanaume the way they want.

Sasa subirini magonjwa ndiyo yatadetermine life yako, hivyo vidumu vitatumika kukumiminia maji nyuma ya maiti!

Shame on you wanawake wote mnaofagilia viidumu. Lizy kila siku unaponda kuolewa leo unashabekia vidumu! ndoa utaisikia kwa wenzako! Sorry to wish you that.
 
Naona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…