Vidumu ni vitu gani hasa?

mhh, wadada mna mambo....kwa bahat mbaya mm ndo mto wenyewe, tena siyo seasonal. wangu hahtaj kidum wala kijiko anaogelea atakavyo na hana haja ya kuhfadh maji pemben

hahahhaha haya we usijelia bdae. manake aweza ogelea mtoni akitoka hatua mbili amekanyaga tope kidum kitasafisha. hahahhaha ncheke mie mbavu zangu.
 
Laiti maneno yenu yangepimwa kwenye mizani na jumla yake kutolewa siku ya hukumu......!!!
 
Hivi hujaona nilivyomjibu FL1??Usipende kuhukumu kabla hujajua mnyororo mzima ulikua unaelekea wapi...wakati huo huo nashukuru maneno yako maana kuolewa sio baraka kwa wote.
 
haahhahahaaha!
 
Sijapenda hapo dada carol kwa nn umjaji mwenzako ki hivo?
 
naogopa kuchangia hapa... ila inanikumbusha maneno ya wimbo mmoja wa wakimbizi kambini Ulyankulu late 1980s "sasa tumeufikia wakati wa hatari, tumeufikia Mlima Sayuni. Ivyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke"
 
mhh, wadada mna mambo....kwa bahat mbaya mm ndo mto wenyewe, tena siyo seasonal. wangu hahtaj kidum wala kijiko anaogelea atakavyo na hana haja ya kuhfadh maji pemben

Kuna climate change! Usiombe maana utakauka bila kutarajia!
 
cku hiz wanawake hatuna haya kabca..yan tunajicfia ujinga wa vidumu cjui magaloni?wakat ndo tulikuwa tunalalamikia smol houc....hiv wanawake ndo haki sawa hiz au wat da hell are we trying to show?....walio na hao "VIDUMU" eti 4 kupunguza stress,mmenoa coz una-multiply hzo depression zako,...zikizd cjui utaenda kutafuta vikombe au majagi?.....:shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…