Elections 2010 Vielelezo Mojawapo vya Kuthibitisha Kushindwa Kwa CCM Kuongoza Nchi

Elections 2010 Vielelezo Mojawapo vya Kuthibitisha Kushindwa Kwa CCM Kuongoza Nchi

Nsololi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2007
Posts
298
Reaction score
80
Napendekeza Watanzania wote wenye nia ya kuufahamisha umma wa Wa Tanzania kwa nini CCM hawastaili kupewa miaka mingine ya kuongoza nchi hii kuanda cd zikionesha picha kutoka sehemu mbalimbali za nchi zenye hali mbaya ya kimaendeleo kama hizi hapa na kuzisambaza kwa wa TZ hata kwa kuuza kwa bei poa ili kurudisha gharama ya utengenezaji. Je, haiwezi kusaidia kuonesha kushindwa kwa chma tawala cha CCM??? Je, CHADEMA, CUF, n.k. hawawezi kutumia mbinu hii na kuzisambaza kanda hizi kwenye mikutana ya campain????
 

Attachments

CCM haina qualification ya kupewa kura
 
Back
Top Bottom