Viettel wamefikia wapi?

Viettel wamefikia wapi?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Kampuni mpya ya simu kutoka Vietnam Viettel kama kuna mtu anajua wanaendeleaje atujulishe, huduma zinategemewa kuanza lini? Wale mlioapply kazi zao mmeshaanza kupiga mzigo?
 
Back
Top Bottom