Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Apr 13, 2015 #1 Kampuni mpya ya simu kutoka Vietnam Viettel kama kuna mtu anajua wanaendeleaje atujulishe, huduma zinategemewa kuanza lini? Wale mlioapply kazi zao mmeshaanza kupiga mzigo?
Kampuni mpya ya simu kutoka Vietnam Viettel kama kuna mtu anajua wanaendeleaje atujulishe, huduma zinategemewa kuanza lini? Wale mlioapply kazi zao mmeshaanza kupiga mzigo?