Views za Ayo TV baada ya kumpost Diamond Platnumz...

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264


Ayo Tv, Millard ayo channel ya youtube zamani ilishazoeleka kuingiza hata video 10 kwa mpigo kwenye orodha ya video zinazovuma (trending videos), Ni kipindi ambacho kijana hakuwa na mpinzani youtube akiweka video yani fasta tu views laki na ushehe tayari, kijana alipiga mpunga acha kabisa,

Ila miaka michache nyuma alipoingia kwenye ugomvi wa wcb na clouds fm, alifanyauamuzi ulioua channel yake kwasababu aliamua kuacha kupost video za wcb, wafatiliaji wa channel yake wakapungua, views za video zake zikawa chache na kupelekea kuanza kupokea pesa kidogo sana, ila wakati huo huo channel changa zilijijenga na kumfunika kabisa millard ayo kwa kupost maudhui ya WCB.

Leo masaa tisa yaliyopita, kaweka video ya Diamond tayari ina views karibia laki, ni kitu ambacho hakijatokea kwa muda mrefu kwenye channel yake, ni kama muujiza, kwa views hizi kwa makadirio ya fasta fasta atakua kaingiza laki 3, na video bado ni mbichi bado inaendelea kusomba views.

alizoea kuingiza zaidi views millioni 50 kwa mwezi kitu lichomfanya apokee zaidi ya milioni 70, alipoanza ukauzu mwezi mzima tia maji tia maji ana views milioni hapo ana milioni 2 tu inaishia yote kulipa wafanyakazi

Kwa ushauri tu naona millard arudi kwenye sifa za kuwa mwandishi wa habari tuliyemzoea ambae alikuwa hana upendeleo wala ubaguzi, aliacha kupost habari za wcb alitegemea nini????
 

Attachments

  • 1588615715943.png
    196 KB · Views: 2
izo laki tatu ulizo andika ingekuwa zinapatikana ki rahisi rahisi hivyo ata wewe ungefungua account ya youtube uanze kutengeneza pesa...maisha hayajawa rahisi kiasi hicho


Kwa taarifa yako tu huyo mtoto anarekodiwa anachezea toys, mwaka jana pekee youobe wamemlipa bilioni 60 (60,000,000,000/=) sembuse ki laki 3 ambacho nyie mnaona nyingi ila kwa wezetu inanunulia jeans tu. hapa kuna kazi kibao za madereva mshahara elfu 46 kwa saa, laki 3 sio pesa kiivyo kwa mzungu,

 
Hawa wakina middlesimba wanabeba viwaz YouTube utazan wamefunga robots kutrend kwao kitu chakawaida saaana an
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] nimeona laki 3, 70 millioni na billioni 60 kama sijakosea embu niekee receipt ya hizo hela. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Hizi story za vibandani ziacheni huko huko huku uje na vivid proof.
Hela sio rahisi hivo
 
Hawa wakina middlesimba wanabeba viwaz YouTube utazan wamefunga robots kutrend kwao kitu chakawaida saaana an
Si wakaona kaka yao millard ayo kawaachia uwanja kwa kuacha kupost WCB, vijana wakaona hii fursa sasa, na wameitumia kumpiga gepu refu millard
 
Hiyo hela unanunua huti ngapi za jeje?
 
Acha uchawi dogo media hata ziwe ngapi watagawana viewers na wewe ni mmoja wapo unaenda kuchungulia

Marekani kuna media zaidi ya 2000 ila zinafanya vizuri tu zotee na zimejizolea umaarufu kwa taarifa na sio bla bla
Mfano

CNN.

New York Times.

Washington Post.

Breitbart.

FOX News.

Huffington Post.

VICE.

USA TODAY


N. K

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
mkuu yotube wanalipa hadi dola 5 ( 10,000/=) pesa ya madafu endapo channel yako ina watazamaji wa ulaya na marekani.

ila kwa views za huku africa youtube hulipa kwa wastani elfu 2 na ushehe kwa views elfu 1 (japo wapo wanapokea elf 5 kwa views buku kulingana na jampuni inayotaka itangaziwe matangazo yale ya youtube).

sasa kwa spidi ya views ya gii video najua wiki ikiisha views kama laki 3 hapo zimo, kwa views laki tatu hapo ukilipwa chini basi ni kama laki sita.

millard enzi hizo akipandisha tu hata video moja ya birthday ya shilole ana views nyingi tayari na alikuwa anapandisha videos kibao na zinahit, kijana hakuwa na mpinzani


ila kama unadhani rahisi kufikisha hata views laki jaribu uone shughuli yake,

jii ni listi ya watu wanaolipwa zaidi na youtube, anaeshika mkia kwenye listi hii analiwa bilioni 30 *(30,000,000,000)

Usione korona ipo, hakuna shows ukadhani watu hawapigi pesa, msanii kama Diamond youtube inamrushiaga hela yake ya videos za gharama na anabakiwa na kitita cha maana tu
 
Naona unataka kujijibu mwenyewe, Leo hii vyombo vya habari vilivyokuwa na umaarufu mkubwa nchini marekani kama cnn, cbs, msnbc, abc, nbc, n.k vimepitwa na fox news ambayo ilikiua inasua sua.

unajua kwanini?? jibu ni kwamba hao magwiji naowafananisha nao kama millard ayo walianza kumponda trump, kumtungia habari za uwongo trump na kuto kuripoti vizuri anavyofanya trump, wanachi wanampenda trump kama diamond platnumz ila wewe unamfanyia figisu unategemea nini??

matokeo yake leo hii fox news ndio wana watazamaji wengi marekani kupita cnn, msnbc, cbs, n.k, yaani hadi channel za wanyama zinaipita cnn .

 
Ndo nani kakudanganya mkuu
 
Ndo nani kakudanganya mkuu
We endelea tu kubisha wakati hujui chochote, mimi binafsi sifanyi youtube ila nafanya shughuli za kuniingizia kipato mtandaoni kwa njia ya blog yangu, nina wadau nafahamiana nao wanapata ridhiki zao youtube.

watu wanajifungia ndani na pc zao wanapiga dola safi tu (kuna vijana wanafumua dola elf 8 kila mwezi, kaibadilishe iwe pesa ya madafu sasa!!!), binafsi karibu kila wiko maingiza zaidi ya laki na nusu, nimeajiriwa serikalini napokea mshahara + posho safi ila hizi laki nanusi za kila wikizina saidia kulipa bills kama sevisi za kamkwechu, mlinzi, dstv, kumwaga takataka, chakula cha mbwa, mshahara wa binti anaesaidia kazi za ndani , n.k

 
hizo ni story za kwenye magazeti ebu fungua na wewe account yako tuone utakavyo anza kulipwa pesa ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…