Views za Ayo TV baada ya kumpost Diamond Platnumz...

hizo ni story za kwenye magazeti ebu fungua na wewe account yako tuone utakavyo anza kulipwa pesa ndefu
mwenzio naandaa habari moja tu kwa siku, wiki hii angalau nmeingiza laki 2 wakati wewe unachojua kukifanya mtandaoni ni kujaza kichwa chako umbeya wa insta.

sema nahisi hujui hata kiingereza maana hivi vitu vipo wazi mtandaoni, nenda kwa ras simba akupige msasa wa kimombo hata cha good morning 🀣 🀣 🀣

hujui kitu, vua chupi kaa pembeni tu
 
Acha ungo usd 87 ni laki mbili tangu lini
 
Acha ungo usd 87 ni laki mbili tangu lini
😳😳hivi ni kwamba kitu pekee mnachokijua mtandaoni ni kufuatilia umbea au????

HOSEA 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,

Nahisi ukiokota dola noti ya dola100 naweza kuinunua kwako kwa elfu kumi na ukajiona mjanja kumbe boya tu, mimi naenda zangu kuiuza hata kwa hasara ya elfu 30 nikaoewa laki mbili misimbazi 20


 
Laki na nusu inavyotumika sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NAVYOONA MILLARD HAJASHUKA KWASABABU KASHINDWA KUANDIKA STORY ZA WCB, ILA ALISHUKA BAADA YA KUANZA KUANDIKA HABARI ZAKE KISIASA NA KUPENDELEA UPANDE FLANI AMBAO VIJANA WENGI HATUUPENDI. NA VIJANA NDIO TUNAFUATILIAGA ZAIDI MITANDAONI, HIVYO TUKAWA HATUFUNGUI TENA CHANEL YAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado umeandika maneno mengi bila evidence from Youtube wanalipaje per view/ per subscriber
Labda nikuulize cha kwanza Youtube anapataje hela?
Cha pili views zinalipiwaje i.e kuna video ndani ya wiki ina views 1million nyingine ndani ya mwezi 1million nyingine ndani ya mwaka 1million.

Kama hujui sema nikusaidie
 
😊😊
Mkuu kesho chukua bia mbili waambie waweke kwenye bili yangu.

Kuna watu humu wanatabia za kufuata mikumbo na ubishi wa kipumbavu. Hongera kwa kuwajibu kwa evidence tena bila kupanick mkuu mwisho wa siku wanaumbuka wenyewe sasa. Ha ha ha ha ha huu mchezo kweli hauhitaji hasira.
 
Unajua kazi ya google ukiachana na kutumia kutafuta udaku???? Kama kiingereza hakipandi omba msaada, kila kitu kipo google
 
Unajua kazi ya google ukiachana na kutumia kutafuta udaku???? Kama kiingereza hakipandi omba msaada, kila kitu kipo google

Hili jibu linadhihirisha hujui ulichokianda zaidi ya kuleta story za vijiweni hapa.
 
Millard ayo hata Mimi sifuatilii channel yake kitambo , kila mda taarifa za Alli kiba sjui Kondeboy, kipind cha nyuma nilikuwa nafuatilia website ya Millard ayo tuu sa hv hata insta simfatilii .......

Ayo alishaisha , Hana jipya Yule , hata hela mnazotuaminisha anapiga labda ilikuwa-zaman sio sasa hv ,
 
Hongera kwa hilo ila ukiweza kuweka hapa ushahidi wa hayo malipo nitakulipa mara 6 ya malipo yako yote uliyo wahi kulipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…