Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
 
Naona Wcb Mnaendeleza roho mbaya Fanyeni mziki, Mmemshindwa king kwenye ndumba, Mmeamua kuwekeza kwenye Upande wa IT View attachment 1414200View attachment 1414202

Hebu tueleze kwa kina wcb wamehusika vipi kushusha hao viewers?
Tuchambulie kinagaubaga na kitaalamu pasipo kumumunya walivyohusika, bila kusahau ushahidi pia...!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zingine zimechukuliwa na kalimanzila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…