acha ubahili bwana, weka vitu vipya ......... Wabongo bwana ndiyo maana wachina wamelundika takataka zao hapo kariakoo.
Orait...let me rephrase this, weka vitu vyenye ubora hata kama vinatoka china haijalishi (Ubovu ni kwamba vitu vyetu vingi vinavyotoka chini vilivyopo kwa sasa havina ubora kabisa). Mimi kwa upande wangu hata kama natumia vya mchina, natumia vile vyenye ubora unaotakiwa sio zile takataka walizomwaga pale kariakoo.vipya ni tofauti na vile halisi ww vipi?
Jiangalie unatumia vingapi vya mchina hata kama vina lebo ya ulaya? Au hujui?
Orait...let me rephrase this, weka vitu vyenye ubora hata kama vinatoka china haijalishi (Ubovu ni kwamba vitu vyetu vingi vinavyotoka chini vilivyopo kwa sasa havina ubora kabisa). Mimi kwa upande wangu hata kama natumia vya mchina, natumia vile vyenye ubora unaotakiwa sio zile takataka walizomwaga pale kariakoo.
LOL kaka nimekusoma, yaani nimecheka sana baada ya kusoma signature yako. Uko juu mno mkuu. Anyway hakuna ugomvi mkuu, isipokuwa huwa ninapenda watu tutumie vitu vyenye ubora. Unajua kama watz tutaacha kutumia takataka za wachina zitakosa soko, hali itakayosababisha ziachwe kuingizwa kiholela. Maana yake muda mrefu baadaye tutaepuka kuwa dampo. Tuanze sasa kama jamii kukataa kuwa dampo la vifaa visivyo na ubora.ww kijana,angalia na signature yangu ndo uendelee!! alaaaa!!!
LOL kaka nimekusoma, yaani nimecheka sana baada ya kusoma signature yako. Uko juu mno mkuu. Anyway hakuna ugomvi mkuu, isipokuwa huwa ninapenda watu tutumie vitu vyenye ubora. Unajua kama watz tutaacha kutumia takataka za wachina zitakosa soko, hali itakayosababisha ziachwe kuingizwa kiholela. Maana yake muda mrefu baadaye tutaepuka kuwa dampo. Tuanze sasa kama jamii kukataa kuwa dampo la vifaa visivyo na ubora.