Vifaa vinavyohitajika kuweza kuwa na digital TV channel...

Mimi sio mtaalam mkuu wa hizo issue, na assume tu una launch hio tv online
1. Kutahitajika Camera ambayo itatengeneza content
2. Utahitaji mic kwa ajili ya kupata sauti Nzuri
3. Utahitaji computer kwa ajili ya:
-ku edit video kabla ya kurushwa
-hardware encoding kubadili format toka kwenye camera hadi format ambayo end user anatumia
-kufanya mixer
-ku upload kazi yako kwenda sehemu ambayo una transmit kwa end user etc.
Kwenye traditional chanells za tv hivyo vitu vinafanywa na specific hardware ambazo mimi sizijui, wataalam zaidi watakuja.
4. Utahitaji internet hasa yenye upload speed nzuri
 
Twende taratibu kama chief Mkwawa alivyoweka hapo juu.
1-Sony ZV-10 I au DJI Osmo pocket 3 hii narecomend sana kutokana na features zake ila ni vlogging camera.
2-Mic hapa chaguo lako kuna zile wireless na za wire straight to camera au za computer chagu(Hapa bei itapanda ila in long run itakusaidia.)
3-Capture Card, Hapa Elgato hana mpinzani ila za kichina pia zipo.
4- Studio Lights hapa hakun kukwepa hakikisha unapata setup ya mwanga ya kueleweka.
5-Computer- Hapa kama huelewi ipi upate tafuta Apple MacBook yenye M1 chip.
 
Hapo ni kama online tv...je nikitaka iwe available mfano Azam au DStv...vifaa vipi vinaongezeka??
 
Hapo unaweza kuhitaji satellite dish za vsat kwa ajili ya ku uplink hayo matangazo in real time kwenda kwa hao azam au dstv..
Encoders n.k...
 
Hapo ni kama online tv...je nikitaka iwe available mfano Azam au DStv...vifaa vipi vinaongezeka??
Vifaa ni hivyo hivyo ila vitaongezeka baadhi vichache, mambo ya free to air broadcasting tools siyajui sana, ila Google hilo neno utavipata.
 
Back
Top Bottom