Habari wadau, msaada kidogo nilikuwa nawazo la kufungua dry cleaner, nilikuwa nataka kujua ni vifaa gani vinatakiwa kuwemo ikiwemo mashine nzuri na upatikanaji wake na bei zake ambazo ni standard na vifaa vyote ambavyo vinatakiwa kiwemo ili kuweza kufungua biashara husika.