Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
 
Nicheki 0686141321__mm nifundi wa aluminium kiujumla pia nauza material ya aluminium pamoja navioo
 
Mkuu material bei gani
Material yako tofauti tofauti —-material yamilango nitofaut na yamadirisha pia nitofaut namakabati so inategemea ww unataka yadizaini gani ama unataka kutengeneza nn
 
Sijui wanjiita BN siko sure nmesahau ila mkuu ni jengo kubwa utajua tu kuwa hapa wanauza machines.
Pale wanauza hadi machine za Upvc
Wanauza mpaka mitre saw machine za kukatia profile za aluminium???
 
Back
Top Bottom