Punguza gharama za ujenzi kwa kununua vifaa vya bomba kwa bei ya jumla jumla. IPS, PPR, GS, PVC
Gutter
Karibu
Gerezani, kariakoo
Whatsapp +255 669 494650
Ukiitaji bei njoo whatsap au fika dukani na requirements zako.
Mkuu vitu vi vingi, kikubwa kama wewe unamahitaji yako weka hapa nitakupa bei, maana ukisema hardware yote uandike bei hapa inakuwa sio biashara sasa, vifaa vya plumbing vina variety mno