Ujaandika upo wapi? Picha ujaweka namba hujui humu au wabongo wengi ni matomasoNauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 1 ya mbao Mita Moja na nusu kwa ajili ya kuwekea kabati
Meza 2 ndogo Za plastic
Viti 6 vya plastic
Jiko La gesi La karai moja
High pressure valve
Mtungi kg30
Makarai 2
Frying pan 3
Chef knives
Cutting board
Machujio
Yani kiujumla na vyombo vidogo kasoro sahani vipo
Nauza Kwa vyote au hata kimojakimoja.
Bei maelewano, njoo na offer yako af tutaongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungepga pcha ingeleta maana zaidNauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 2 za kucomelea na 1 ya mable
Jiko kubwa la Gas na mtungi wa gas wa kilo 15
High pressure regulator
Makarai 2 ya chips
Nauza bei ya kawaida sana
Nipigie 0653-178586
Whatsapp no 0620729600
Sent using Jamii Forums mobile app