INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

EJOSMAT

Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
32
Reaction score
19
Printer hp 7500 a wide format------laki 3

Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu

Sigma lense 170-500----------------laki 4

Studio light na background yake laki 4

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267

664







 
Speaker zinauzwa

Speaker 4 (Bass 2 na Mid 2 )

Zipo Goba Dar es Salaam

Zinafaa kwa sherehe, kukodisha, Matangazo, Ibada n.k
Bei Mil 1.5 Tsh

Kwa mawasiliano piga simu 0717 040 837

 
Flash ya Camera speed lite TT 560 Inauzwa

Bado mpya kabisa

Ipo Dar es salaam

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717 040 837

Bei 150,000 Tsh.









 
Nilivoona 150000 nikaja mbio nikizan Ni camera ndo inauzwa kumbe flash yake..pamoto
 
Lenzi ya Camera Sigma 170-150mm Inauzwa
Bei Laki 3 na nusu
Kwa mawasiliano Zaidi wasiliana nasi kwa simu 0717 040 837.


Ipo Dar es salaam

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717 040 837

 


Inaprint A4 na A3

Ipo Dar es Salaam

Bei Tsh. Laki 3

Kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu 0717 040 837
 
Gitaa la accoustic (galaton) linauzwa

Linatumia umeme na bila umeme

Bei laki na nusu tu

Tupo goba, dar es Salaam, wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 / 0767 267 664

 
Stand ya Camera ina uzwa
Ipo Goba, Dar es salaam
Bei Maelewano
Wasiliana nasi kwa simu / WhatsApp 0717 040 837 / 0767 267 664

 
Studio Kit inauzwa.

Ina Microphone (Condenser), Headphone, soundcard na Microphone Stabilizer.

Inafaa kwa online TV, Karaoke, PC Recording n.k.

Ipo Goba, Dar es salaam.

Bei Maelewano.

Wasiliana nasi kwa simu / WhatsApp 0717 040 837 / 0767 267 664





 
Pata mziki mkubwa wenye viwango kwa bei nafuu sana

Sony home theatre dav-dz350

1000 watts

Haina tatizo lolote

Ipo goba, dar es salaam

Bei 440000 tsh

Wasiliana nasi kwa simu / whatsapp 0717 040 837 / 0767 267 664

 
Ukikanunua hako ukaweke chumbani,,,
Na
Chumba chenyewe uhakikishe kina gypsum na rangi ili sauti itoke,,
Onyo,,
Natoa onyo kali.
Usije ukathubutu kukitoa nje siku ukiwa na ubatizo au kipaimara,,, kitakoroma kama redio ya mkulima
 
Sema bei tujipimie.

Sio kwamba tunahitaji tunahitaji iyo Kit kama tungehitaji tungeenda dukani, ila kwa sababu ww unauza ungesema ni bei gani.

Thou naqeza kuwa siihitaji iyo kit ila naweza vutiwa na bei yako nikanunua
 
Ukikanunua hako ukaweke chumbani,,,
Na
Chumba chenyewe uhakikishe kina gypsum na rangi ili sauti itoke,,
Onyo,,
Natoa onyo kali.
Usije ukathubutu kukitoa nje siku ukiwa na ubatizo au kipaimara,,, kitakoroma kama redio ya mkulima
Huo ni mziki wa ndani bhana! Na huo ubatizo na kipaimara, vina mziki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…