Za saa hizi jamani
Kuna vifaa nauza bado vipya na kwa packaging yake
Drip tapes(mipira ya kilimo cha umwagiliaji) kwa mita 1000 tsh 230,000
Greenhouse 12 by 20 mita na insect net yake tsh 1,800,000
Disc filta inches 1.5 tsh 165,000
Mawasiliano number hizi na WhatsApp 0716 300 743
Asante sana