Mkuu tafuta kompresa,misasa,nyundo,machine ya kupiga bit,drili na bit zake,madumu ya maji,jeki,bomba la kuvutia magari,machine ya kuchomelea ya gas na umeme,tuul boksi,malapulapu(waweza pata mitumbani),cheni loku,sehemu ya kuchimba sevisi bey,renji paipu,bisibisi,tepu na maskin tepu,patex,mafta breki,na shu brake na za klachi na presa na wewe
fanya kitu au biashara ambayo unaujuzi na uelewa nayo mkuu.
hivyo vitu unavyotaka kufanya lazima viendane na uelewa harafu hizo mashine ni kama spana tuu kwa fundi.
hahahahah nilikuwa na maana kuwa kama unahitaji ww mwenyewe yapaswa uwe na uelewa kidogo coz utapima harafu hujui hicho ulichokipima ni nn? kingine siku hizi mashine sio ishu tena coz mafundi tunazitumia kama spana tuu? lkn sio kama kitega uchumi hata wanao miliki magari wanapeleka kwa mtu anayeweza kutengeneza sio mpimajiMkuu
Kwani mengi anaweza kutengeneza soda???
Au Bakharesa anajua kupika chapati???
Ni KWA UCHACHE VIFAA VINAVYOHITAJIKA GEREJINIDaaa mkuu
Hiyo supermarket au Garage
Anyway asante