INAUZWA Vifaa vya kurekodi muziki

INAUZWA Vifaa vya kurekodi muziki

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
sound card behringer UM2202 tsh 450000 mpya
sound card behringer UCA202 tsh 150000 used mwezi 1
Behringer microphone tsh 300000 new
Behringer Monitor Speaker 550000 used 1month

Tuwasiliane pm
 
450000+150000+300000+550000=1,450000?

Kwa hiyo naweza kufungua studio ya kurekodi music kwa pesa hiyo? Kuwa serious nielezee vizuri maana niko interested na kazi hizi aaiseee
 
450000+150000+300000+550000=1,450000?

Kwa hiyo naweza kufungua studio ya kurekodi music kwa pesa hiyo? Kuwa serious nielezee vizuri maana niko interested na kazi hizi aaiseee
hapo utakosa computer,keyboard na guitor tu. pia chumba cha sauti(vocal room)

ukijumlisha na hvo itakuja mil 2 hivi
 
mpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako
 
mpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako
Studio nyng za kibongo znaanza hivyo hata studio ya mensen ilikuwa haifiki hata mls tatu ilipoanza toa ngoma kali
 
mpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako
hivyo vitu nilivotaja ndio msingi mkubwa wa neno recording studio.vitu vingine ni nyongeza tu. studio nyingi hata kwangu ninatumia vitu hvyo. hapo nimeorodhesha vi2 ambavyo mimi nauza.sio vitu vyote vinavyotakiwa ktk studio.

vitu kama jitaa kwa mwanzo(kama kuna umuhimu wa kutumia)utalikodi mtaani.
instruments zingne utatumia plugins na sample ambazo zipo ktk kompyuta.

kwangu mil 2 inatosha sana.japo kuna studio mpaka mil 50
 
Naitaji kufanya hiyo biashara ila naambiwa kufunga sound proof itanicost ml 2 ndio naulizia ili niwe na uhakika
 
Back
Top Bottom