Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
hapo utakosa computer,keyboard na guitor tu. pia chumba cha sauti(vocal room)450000+150000+300000+550000=1,450000?
Kwa hiyo naweza kufungua studio ya kurekodi music kwa pesa hiyo? Kuwa serious nielezee vizuri maana niko interested na kazi hizi aaiseee
Studio nyng za kibongo znaanza hivyo hata studio ya mensen ilikuwa haifiki hata mls tatu ilipoanza toa ngoma kalimpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako
hivyo vitu nilivotaja ndio msingi mkubwa wa neno recording studio.vitu vingine ni nyongeza tu. studio nyingi hata kwangu ninatumia vitu hvyo. hapo nimeorodhesha vi2 ambavyo mimi nauza.sio vitu vyote vinavyotakiwa ktk studio.mpe mwenzio maelekezo mazuri usije muingiza mkenge mil 2 umekamilisha studio labda ujenge chumbani kwako