Vifaa vya kuvunia asali

Vifaa vya kuvunia asali

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Wana JF,
Naulizia wapi vinapatikana vifaa vya kuvunia asali, yaani mavazi maalum ya kuvaa wakati wa kuvina asali na vyombo vya kuwekea na kuhifadhia asali.
Wapi nitapata vifaa hivyo na bei zake zikope ?
Asanteni sana.
 
Mpigie huyu jamaa 0754678066, utapata kila utakacho ktk eneo hilo. kwa heri.
 
Back
Top Bottom