Wana JF,
Naulizia wapi vinapatikana vifaa vya kuvunia asali, yaani mavazi maalum ya kuvaa wakati wa kuvina asali na vyombo vya kuwekea na kuhifadhia asali.
Wapi nitapata vifaa hivyo na bei zake zikope ?
Asanteni sana.