Vifaa vya kuzibia pancha vinauzwa

Vifaa vya kuzibia pancha vinauzwa

Dadii

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
749
Reaction score
1,158
Habari wadau,

Mwenye kuhitaji vifaa vya pancha ili aweze kujiajiri vinapatikana na viko katika hari nzuri na salama.

1.Compressor ( mtungi) wa upepo 250bar
2.Spanners zote za kufungulia tyres
3.Jackes and wheel spanners
4.Battery testor machine kwa ajiri ya kupima battery na alternetor
5.Battery charger machine
6.Machine ya kuoshea magari ila hii utahitaji kupata mkono mwingine its available kwenye maduka ulivunjika kdg.
7.tyre changer ni hii local made.
8.tyres level
9. bisibisi na spnaa ndogondogo
10. Sindano za kuzibia tubeless tyres etc.
And other accessories related to pancha services.

Bei ni nzuri tu 2,800,000/= maongezi yapo tena kwa mapana tu.

Muhitaji ani PM tutaongea vizuri tu.
 
Nipo Dar mkuu uki ni PM tunaweza tukaongea mengi! kifupi shughuri za kikazi zinahamia mkoaa mwingine! ndio sababu ya kuuza. kifupi ni biashara inayoilipa ukiwa na mtu trust maana wewe ni pango tu! umeme ni juu ya fundi na wenziwe... na vifaa wakiharibika matengenezo ni juu yao.

We unachukua chako kwa siku au per week ikiwa monthly utatafuta ubaya. kulea mtoto sio pesa mkuu.

Kama uko seriously Ni PM mkuu tutapeana ushauri na mambo mengine yote: contacts etc
 
Back
Top Bottom