Vifaa vya maabara

occipito-frontalis

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
133
Reaction score
70
Hi, jamani naomba kujua duka la vifaa vya maabara za binaadam linalouza kwa bei nafuu na imara kwa hapa Dar es salaam
 
Nenda kko, barabara ya uhuru kama unaenda m/moja tokea Round abt ya zamani Msimbazi upande wa kulia mtaa wa nyuma yake kuna maduka kibao
 
Mcheki huyu ni muuzaji was vifaa pia ni member humu JF 0745 386264
malindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…