B Bizzly Member Joined May 3, 2010 Posts 79 Reaction score 24 Jun 30, 2010 #1 wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano.
wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Jun 30, 2010 #2 nenda game mlimani city
G gasgas JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 1,092 Reaction score 986 Dec 31, 2017 #3 Bizzly said: wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano. Click to expand... Karibu hivi vifaa Dumbbells za 20 kg zinauzwa
Bizzly said: wana JF naombeni mwenye kujua anijuze ni wapi yanapatikana maduka wanapouza vifaa vya mazoezi ya kujenga mwili kwa DSM. Asanteni kwa ushirikiano. Click to expand... Karibu hivi vifaa Dumbbells za 20 kg zinauzwa