Vifaa vya mziki/studio vinauzwa

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
221
Reaction score
100

nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa.

nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi.....
napatikana dar es salaam, mikoani tunatuma kwa uaminifu au kukuletea kwa makubaliano!

Bei ni kuanzia 300,000 na kuendelea kulingana na kitu husika unachohitajii

mawasiliano: 0658644485

karibuni saana!

 
Na vile vinanda vikubwa vyenye pedo chini unavyo?
 
Mim nina tafuta Amplifier nzuri...unazo zipi na ni bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…