INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

INAUZWA Vifaa vya ofisini vinauzwa

MFS

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
17
Reaction score
6
Habari wadau wa JF...

Nauza baadhi ya vifaa vya ofisini hasa kwa watu wenye nia ya kufungua ofisi..
Sababu ya kuuza ni kwamba nimetanua ofisi hivyo nimehamia sehemu nyingine kwa hiyo nalazimika kuuza baadhi ya vifaa.

1. Taa ya umeme
ina uwezo wa kuplay music, ina support USB, bluetooth na inatumia remote...

Bei Tshs. 180,000/-
IMG_20170127_151729.jpg
IMG-20170121-WA0026.jpg


2. Meza ya mapokezi na kikabati chake.
meza ina droo 4 na kikabati kina sehemu 4

Bei Tshs. 250,000/-
IMG-20170121-WA0033.jpg
IMG-20170121-WA0032.jpg
IMG-20170121-WA0034.jpg


3. Zulia lenye urefu wa mita 3.5 kwa mita 3.5 mita
Zulia Tshs. 80,000/-
IMG_20170127_151917.jpg


4. Mlango wa kioo (Full store front)
Mlango una size ya ft 12 kwa 12 ft
Bei Tshs. 360,000/-
IMG-20170121-WA0029.jpg
IMG-20170121-WA0027.jpg


Lakini pia atakayehitaji hicho chumba kinapangishwa Tshs. 400,000/- kwa mwezi..

Vitu vyote vinapatikana Masaki...
Mawasiliano +255 769 897 469

NB> Kwa atayechukua vyote nitamsaidia usafiri kwa Dar tu.

Karibuni..
 
Leta picha ya zulia na linaukubwa gani?
 
Back
Top Bottom