mkuu kuna vitu vingine huwa havihitaji sana usubilie kuambiwa kwa kuwa ww ndio mwenye shida mm ningekushauri kwanza uanze kugoogle na kutafuta majibu ya swalu lako kwenye source mbali mbali naamini ungepata majibu ya basic baada ya hapo ndio ungekuja na maswali ya kuwauliza wadau hasa kuleee kwenye jukwaa la tech kuwa ni aina gani ya kifaa ni kizuri kwa hapa bongo na kwa kimatumizi na bei na upatikanaji wake na ubora wake kule ndio wangekushauri vizuri kabisaaa.
hembu fanya ujiongeze kidogo basi mkuu