Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Done
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saluni ya kike inauzwa imekaa miezi mitatu tu.
1.Viti vya saluni kimoja 70,000 vipo vinne
2. Dryer ya juu mpya haijatumika sana 230,000
3. Dryer ya chini 120,000
4. Steamer 120,000
5. Vioo na vi kabati vya kuwekea dawa 150,000
6. Kikabati cha kioo 50,000
7. Storage bench 100,000 zipo mbili
8. Make up mirror 600,000
9. Viti vya make up 90,000 kimoja vipo viwili
10. Dawa za nywele na essentials zote 300,000
11. Roller stand 50,000
12. Kiti cha kuoshea nywele 350,000
13. Kiti cha kucha 100,000
14. Kucha za gel zipo 30 na machine za kucha zote kwa pamoja 400,000
15. Kabati kubwa jeupe la kutunzia vitu 250,000
ila kama mtu anachukua vyote kwa pamoja bei inapungua. Nashauri mteja aje mwenyewe akague vitu. Ni vipya.
Nasisitiza. Naomba mteja akague vitu. Kimoja baada ya kingine kabla ya malipo.
Wasiliana na namba 0654465446 kwa picha zaidi na maelekezo.
View attachment 2180352
Uko wapi?
Bado au?Sinza mkuu
Watu wanachukua wanavyovihitaji. Maana ni vipyaBado au?