B Babu Kijana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 589 Reaction score 278 Aug 9, 2014 #1 Nahitaji vifaa vya saluni ya kiume nipo mwanza geita, vifaa vifuatavyo: 1. Viti vitatu vya kunyolea 2. Sofa/kiti cha wateja kusubiri 3. Mashine 3 za kunyolea 4. Vioo vikubwa vya ukutani 5. Kabati dogo na shelf Na kadhalika. Cheers!
Nahitaji vifaa vya saluni ya kiume nipo mwanza geita, vifaa vifuatavyo: 1. Viti vitatu vya kunyolea 2. Sofa/kiti cha wateja kusubiri 3. Mashine 3 za kunyolea 4. Vioo vikubwa vya ukutani 5. Kabati dogo na shelf Na kadhalika. Cheers!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 10, 2014 #2 Unahitaji uletewe mpaka uliko? Kwanini usiende mwenyewe madukani ukajiridhisha kuanzia bei, material n.k. Angalia usije uziwa mbuzi guniani...
Unahitaji uletewe mpaka uliko? Kwanini usiende mwenyewe madukani ukajiridhisha kuanzia bei, material n.k. Angalia usije uziwa mbuzi guniani...
B Babu Kijana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 589 Reaction score 278 Aug 10, 2014 Thread starter #3 charminglady said: Unahitaji uletewe mpaka uliko? Kwanini usiende mwenyewe madukani ukajiridhisha kuanzia bei, material n.k. Angalia usije uziwa mbuzi guniani... Click to expand... Nauliza tu manake humu kuna uwezekano wa kupata kwa bei nafuu na ushauri pia. Asante.
charminglady said: Unahitaji uletewe mpaka uliko? Kwanini usiende mwenyewe madukani ukajiridhisha kuanzia bei, material n.k. Angalia usije uziwa mbuzi guniani... Click to expand... Nauliza tu manake humu kuna uwezekano wa kupata kwa bei nafuu na ushauri pia. Asante.