K Kambamiti JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 291 Reaction score 165 Jul 21, 2013 #1 Ninauza vifaa vifuatavyo vya stationery: heavy duty photocopy machine ( Canon IR 2230), computer, laminating machine na binding machine. vyote vipo katika hali nzuri. Anaehitaji ani PM au tuwasiliane kwa ha.muji@yahoo.com
Ninauza vifaa vifuatavyo vya stationery: heavy duty photocopy machine ( Canon IR 2230), computer, laminating machine na binding machine. vyote vipo katika hali nzuri. Anaehitaji ani PM au tuwasiliane kwa ha.muji@yahoo.com
L LUTAMBI JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 233 Reaction score 102 Jul 21, 2013 #2 Upo wapi, kwann unauza. Naomba namba yako au nibeep 0715719171
K Kambamiti JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 291 Reaction score 165 Jul 21, 2013 Thread starter #3 LUTAMBI said: Upo wapi, kwann unauza. Naomba namba yako au nibeep 0715719171 Click to expand... Nipo Dar. Lengo lilikuwa kufungua stationery, lakini kuna mambo yameingiliana, hivyo inanilazimu kuuza. Karibu
LUTAMBI said: Upo wapi, kwann unauza. Naomba namba yako au nibeep 0715719171 Click to expand... Nipo Dar. Lengo lilikuwa kufungua stationery, lakini kuna mambo yameingiliana, hivyo inanilazimu kuuza. Karibu