Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
acha wivu wacha watu wa stationary tufaidiKatika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana. Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/=
Kwa sasa ni Tsh 100,000/=.
Mimi bado naamini hata kama bidhaa zimepanda sio kwa kiasi hiki. Pc1 ya Ream inauzwa 20000/= tunaumizwa sana
Mkuu unafaidi kwa vipi? Ulikuwa na stock ya zamani?acha wivu wacha watu wa stationary tufaidi
acha tu mpaka hii stock iishe ntakuwa nimetoboa aiseeMkuu unafaidi kwa vipi? Ulikuwa na stock ya zamani?
Hata hivyo ikiisha si itabidi ununue kwa bei ya sasa?