elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Mkuu nipe featuring hapoAcha nianze kurekodi singeli
Eeeee! Eeeeh agodai ma bebee!,Acha nianze kurekodi singeli
Mzigo bado upo Boss?Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake.
Au kamata vyote kwa 500000
Vinapatikana bunju B.
0677508568
View attachment 2102168View attachment 2102164View attachment 2102169
View attachment 2102167