Mmh[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Tulia mkuu, je ukijenga nyumba tetemeko likapita nayo? Kula bia maana umeshushiwa bei
Bia zimeshuka wapi? Maana watu huku wanasema hazijashuka.[emoji23]Tulia mkuu, je ukijenga nyumba tetemeko likapita nayo? Kula bia maana umeshushiwa bei
Mama anaupiga mwingi!Mafuta yamepanda bei hakuna kitakachopungua, sana sana vingine vitapanda
Bia bei ile ile!Tulia mkuu, je ukijenga nyumba tetemeko likapita nayo? Kula bia maana umeshushiwa bei