Vifaa vya ujenzi vya kukodishwa Morogoro

Vifaa vya ujenzi vya kukodishwa Morogoro

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,121
Reaction score
885
Wadau wa mji kasoro bahari,

Nahitaji mirunda, na mbao za kukodishwa kwa ajili ya lenta na kenopi, mjini Moro, lengo la kufanya hivi ni kutokana na nikinunua baada ya ujenzi sitakua na sehemu ya kuzihifadhi!

Tuwasiliane inbox for more details please nawasilisha
 
Back
Top Bottom