S sanga jr New Member Joined Mar 6, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Feb 19, 2018 #1 Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme. Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri. Site ipo goba. Msaada tutani tafadhali
Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme. Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri. Site ipo goba. Msaada tutani tafadhali